Slay King Remake (Vitu Sipendi)

Written by Davy Kamanzi and Onuche Samuel Ogboji

Drill / Comedy rap

Runtime:2 minutes and 45 seconds

Intro

Ehen, DVK

(S'Bling on the track)

This one's for all my slay kings doing their thing out here in Nairobi, man

Watu wa kuchukua Uber na si Umoinner

Watu wa kudishi Kempinski, not kibandaski

Ayy

Chorus

(Ehen)

Nganya (ayy), wezi (Ayy)

Panya (ayy), deni (Ehen)

Hizo ndio vitu sipendi (Hizo ndio vitu sipendi)

Piga (ayy), densi (Ayy)

Sitaki (ayy), penzi (Ayy)

Shenzi (My fren)

Hizo ndio vitu sipendi (Hizo ndio vitu sipendi)

Verse 1

Mi na ma-bro tuko rieng (Tuko rieng)

Tuko ma-drinks na mayeng (Na mayeng)

Kuna mmoja ameninoki (Ayy)

Anadai mjulubeng (Ehen)

Lakini mi niko hungry

Mi nasaka tu msosi

Options ni mchezo (Ai!)

Kumbe Kevo si mdosi

Ati migingo na teargas (Ah!)

Hizo ni nini? (Hizo ni nini?)

Leta maharagwe na pasta (Ayy)

Na soda mbili

Juzi niliona dem akidarwa (Uh?)

Huko jijini (Huko jijini?)

Wanashangaa ati nani ananyamba?

Buda si mimi (Buda si mimi)

Chorus

(Ehen)

Nganya (ayy), wezi (Ayy)

Panya (ayy), deni (Ehen)

Hizo ndio vitu sipendi (Hizo ndio vitu sipendi)

Piga (ayy), densi (Ayy)

Sitaki (ayy), penzi (Ayy)

Shenzi (My fren)

Hizo ndio vitu sipendi

Verse 2

Ni wikendi (Ayy)

Tunaenda party (Ayy)

Kila mtu ako barley (Ayy)

Shawty (Ehen)

Leta nare (Ayy)

Washa ngem hapo ndani (Ayy)

DVK (Ehen)

Flows kibao, lazima (Ayy)

Hizi line nizi-ration (My fren)

Wekwa chobo

Pigwa bare kama Rachel

Rachel, Rachel (Ehen)

Chorus

Nganya (ayy), wezi (Ayy)

Panya (ayy), deni (Ehen)

Hizo ndio vitu sipendi (Hizo ndio vitu sipendi)

Piga (ayy), densi (Ayy)

Sitaki (ayy), penzi (Ayy)

Shenzi (My fren)

Hizo ndio vitu sipendi (Hizo ndio vitu sipendi)