STD

Written by Davy Kamanzi, Daryl Kimani, Benson Theuri, and Andrew Haines

Drill / Benga / Rhumba / Comedy rap

Runtime:2 minutes and 54 seconds

Verse 1

Christopher

Christopher got herpes from Cassandra

(Na hana pesa ya treatment)

Job ni kufagia nywele kwa barber

Msee ako njaa, lunch ye hudishi mahaga

They call his dick the cable (Mm?)

Inatoa stima ka charger

(Cassandra ni Mama Tevo, by the way)

Jana alikuwa na ka-vlogger (Ayy)

Last week alipea mama mboga (Uh?)

Neiba akasaka bakora (Ehen)

For the cake he was willing to risk

Akaenda kumpiga miti (Miti)

Kumbe shimo imejaa weeds

Ikamwasha ka kiberiti

Pre-Chorus 1

Piga kachapo na chai (Chai)

Halafu useti ngwai (Shash)

Maisha ngori walai (Walai)

Lakini bora uhai (Ehen)

Piga kachapo na chai (Chai)

Halafu useti ngwai (Shash)

Sema tu bora uhai

Chorus

Timo hawezi nyora, ako hosi juu

Kuni uliichoma last week

I will never, ever, ever do you, baby (I will never, ever, ever do you, baby)

Singependa kuambukiza nugu, baby (Singependa kuambukiza nugu, baby)

Ushaicheki Brayo akitembea?

Always feeling itchy down there

Wouldn't wanna catch a pimple, would you, baby (Wouldn't wanna catch a pimple, would you, baby?)

Kama rungu inakaa mabuyu, baby? (Ogopa STD!)

Verse 2

(What about Mary?)

Mary alipewa crabs na bae

Aliingia kwa shower

She did not know what to say

Maze, jana boyfie

Alikuwa amemletea bouquet (Akamletea bouquet)

Wakaingia kitanda

To celebrate her birthday (Ayayayayayayayaya)

(Wueh!) Crabs zilikuwa zimemwuma (Eh!)

Akaanza kujikuna (Ah?)

Ointment kwa hao hakuna (Ala!)

Akapiga simu kwa doctor

But akasema, "Niko busy" (Niko busy)

Ngem imemalizwa na mister

Aki huu dem atachizi

Pre-Chorus 2

Piga kachapo mayai (Mayai)

Halafu useti chai (Hana ngwai)

Maisha ngori walai (Walai)

Lakini bora uhai (Ehen)

Piga kachapo mayai (Mayai)

Halafu useti chai (Hana ngwai)

Sema tu bora uhai

Chorus

Timo hawezi nyora, ako hosi juu

Kuni uliichoma last week

I will never, ever, ever do you, baby (I will never, ever, ever do you, baby)

Singependa kuambukiza nugu, baby (Singependa kuambukiza nugu, baby)

Ushaicheki Brayo akitembea?

Always feeling itchy down there

Wouldn't wanna catch a pimple, would you, baby (Wouldn't wanna catch a pimple, would you, baby?)

Kama rungu inakaa mabuyu, baby? (Ogopa STD!)

Outro

You came for the stick

Nikasema, "No"

Then uka-insist

Nikasema, "Sawa" (Sawa!)

I gave you this dick

Saa hii napewa dawa

And that's that

Man of Substance