Wake Up

Written by Davy Kamanzi, Michael Chepkwony, Andrew Haines, and Jeremy Maina

Trap / Shrap / Comedy rap

Runtime:3 minutes and 27 seconds

Intro

The fuck is this nigga still doing asleep at 5 PM, man?

Dude must've been sleeping in the morning this whole fucking week, man, Jesus

Ebu hold on

Hook

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up!

Verse 1

Last night ilikuwa ngori, man

Acha nikuambie story, man

Tulikuwa na mzinga, ndani ya dinga

Nyuma ya lorry, man

Last night ilikuwa ngori, jo (Jo)

Gari iligusa 140, jo (Ai)

Na tulitoka kupewa, then tukalewa

Mi sina worry, jo (Ai, ai, ai)

Last night ilikuwa ngori (Mm)

Makarao walitukang'a (Ati?)

Hongo tulianza kuchanga

Buda, tulikuwa tu na soo saba, huh (Wueh)

Yeah, nikachanga soo nane (Yeah)

Toka kwa block, tano nane (Mm)

Huyo goon alitutoka, mwizi, mkora

Si apatikane? (Ai)

Five-O pulled us over

Tulikuwa lit na ilikuwa shida, huh (Shida)

Tulianza kutokwa jasho

Ka tunacheza mpira, huh (Wueh)

Anza kuficha mzinga, utatukinda (Yeah)

Wacha ujinga, huh (Wueh)

Bangi hatujazima, huh

Beast atatumaliza, huh

Yeah, beast atatumaliza

Wewe si wangu, acha ujinga, uh (Ujinga)

Pesa ndio lugha, my dear

Ona ukikosa venye wataringa, uh (Wueh, wueh)

Avoid a lot of description

Kama watataka, watakusikiza, uh

Mike Posner, 2014

Just took a pill in Ibiza, uh (Wueh, wueh, wueh)

Hook

Wake up (Mm, yeah, uh)

Wake up (Wueh, wueh)

Wake up (Yeah, wueh)

Wake up (Yeah, wueh)

Wake up (Mm-hmm)

Wake up (Hmm-mm)

Wake up (Hmm-mm)

Wake up!

Verse 2

Yes, ni mimi (Mm)

Na nikibonga, please, fyata ulimi (Fyata ulimi)

Na buda si siri (Uh)

Why do you want me na we ni kafiri? (Wueh)

Kwani ni nini? (Nini?)

Ai, my bro, unawashwa na nini? (Na nini?)

Tulia ukae chini (Mm)

Ai, siamini una-burn hivi (Mm, ai, wueh, heh!)

Huh, hakuna choo

And I need to pee (I need to pee)

Mi ni slay king, bro

This life is not for me (Aki walai)

Msee amedenki kwa corner

Ka ni pit latrine (Ala!)

Mwingine ananikodolea macho

Ka ni Mr. Bean (Mr. Bean)

Mr. Right, I piga lean (Piga lean)

Tumeachana, what do you mean? (Wueh, wueh)

She was really the girl of my dreams

Martin Luther, yes, I had a dream (I had a dream)

Zimeshika, jo, kuliko jana (Wueh)

Na kajaba ndio mimi nachana (Jaba)

Ni saa sita? Eh, ni mchana

Twende home, bro, umeharibu sana (Sana, uh, wueh)

Huh, it's time to go

I wanna leave this place (I wanna leave)

Rudisha doh, rudisha simu

Nijikate please (Rudisha simu)

Huh, kufika home, jo

What a disgrace (Uh?)

Askari alikuta mboch

Akamwaga kwa plates

Hook

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up

Wake up

Outro

Ah, huo karao amenipea manoti imbo

Na sina kitu kwa M-Pesa, yaani

Monday niko job na sina fare

Na matha haezi nipea doh, shit

Itabidi nimetafuta sponyo sasa

Nipate nyama ingine ya kudishi hapa karibu nikirudi home

Kuna time huu matha alidai nimkule, eh

Ebu ngoja

(phone ringing)

Hello?

Hello? Sema Mama Tevo

Aki si umenitupa? Mambo?